Hivi ndivyo hali ilivyo kwa abiria watumiao usafiri wa Daladala zitoeazo Posta kuelekea Mbagala jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ugumu wa usafiri wa Mbagala:

    Tatizo lipo kwenye Ujenzi wa Barabara ambao unaenda mwendo wa Kobe, na kwa Taarifa inasemekena Mkandarasi ni yule yule Mchakachuaji ila amejirekebisha kidogo kuhusu Viwango vya ubora!

    ReplyDelete
  2. Nashauri Mkandarasi wa Ujenzi wa Barabara angekuwa anafanya kazi Usiku na Mchana anaacha watumiaji wa barabara!

    HILO NDIO TATIZO LINALOPELEKEA UGUMU WA USAFIRI WA MBAGALA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...