Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Vyanzo vya Kifedha kwa uwekezaji huu vimehakikiwa?

    Jambo la ajabu ni kuwa ujenzi wa kiuwekezaji huu nchini unaenda sambamba na kasi ya hujuma, wizi na ufisadi!

    ReplyDelete
  2. FINANCE INTELLIGENCE UNIT (FIU) mpo?

    Ni jukumu lenu kuhakiki uwezo wa hawa wanaowekeza majengo kwa kukagua vyanzo vya mapesa yao!

    ReplyDelete
  3. Tatizo viwango havizingatiwi!

    1.Hakuna Competitive Bidding kwa Makampuni ya Kandarasi.

    2.Nyingi za Kampuni za Kandarasi ni zile za aina ya ,NISAIDIE NDUGU YANGU BUILDING LTD., KWETU NJIA MOJA CONTACTORS LTD. na TULE SOTE CONTACTORS LTD.

    3.Hatuna uwezo wa kiushindani hata kwa Eneo la Afrika ya Mashariki achilia (ICB) INTERNATIONAL COMPETITIVE BIDDING, hivyo ujio wa kukua kieneo kuwa Afrika ya Mashariki kutatupa changamoto kubwa sana!

    Lakini ndio kukua kwenyewe huko!

    ReplyDelete
  4. Ok.ujenzi waendelea Dar na pengine Dodoma na Moshi, Lakini vipi maendeloe huko Kasulu? Sifikiri kama nimewahi kuona habari za mheshimiwa kufika huko angalau kuwakumbusha tu kuwa nao bado ni Watanzania. Very soon they will be living on another planet.

    ReplyDelete
  5. hiki kikwangua anga nimekiona. hiyo bilikana (zamani mbowe hotel) itafukikwa kabisa. Itakuwa kama sevanti kota au choo...enewei ndio maendeleo

    ReplyDelete
  6. Jengo hilo ni la RITA wakishirikiana na NSSF na mkandarasi ni kampuni ya kichina ya CRJE

    ReplyDelete
  7. Watanzania mtu akijenga kaiba acheni zenu za aliye juu mngoje chini changamkeni na nyie mjenge sio vikorosho tuu, izo enzi zilizokuwa hazina mafisadi mbona kulikuwa hakuna maendelea.Nyau

    ReplyDelete
  8. Ufisadi umepita kiwango mbona watu mnakuwa wakali ikitajwa hivo?Wachache ndio wanahujumu na kula mali ya nchi na wengi wanaendelea kuhangaika. Angalieni na nchi jirani muone tofauti Bongo mmelala sana.... mnadanganywa na vikwangua anga.

    ReplyDelete
  9. we acha tu, viongozi wafike kasulu wafuate nini? but kasulu ya leo sio kasulu ya zamani. vikwangua anga ni NMB (na ukarabati mzito na kuongeza ATC), Highway hotel (wakati hata highway yenyewe haipo!!!),kule kabanga kwa masista, ukumbi mpya wa wilaya na gorofa nyingine 2.

    ReplyDelete
  10. Vikwangua anga ndani ya city center vitaleta tatizo la msongamano wa magari na kudumaza utanukaji wa jiji. Bora majengo haya yakajengwa sam nujoma road, ubungo, mandela rd na pugu rd.



    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...