Mbuzi wakiwa kwenye matembezi barabara ya Bagamoyo road,na haikufahamika mara moja kuwa mbuzi hawa walikuwa ni wa nani na kwanini kawaachia wazurule hovyo mitaani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa mbuzi ni wa mzee nanihii, cha ajabu vingunguti wanauzwa aghali sna lkn hakuna hata mtu anayewaiba, jaribu uone...

    ReplyDelete
  2. Sasa ufugaji katikati ya mji nao unatoka wapi? vyombo vya dola viko wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...