Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule (aliesimama) akiwakaribisha wajumbe kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kwa ajili ya kuwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Utekelezaji, Ufuatiliaji na Tathimini ya Mipango ya Maendeleo ya Taifa leo tarehe 02 Oktoba 2012.
Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (aliesimama) akiwasilisha mada katika mkutano wa viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhusu Mfumo wa Utekelezaji, Ufuatiliaji na Tathmini ya Mipango ya Maendeleo ya Taifa katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo leo tarehe 02 Oktoba 2012.
Naibu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Mhandisi Hapiness Mgalula (Miundombinu na Huduma) aliyesimama kushoto akijitambulisha katika mkutano wa Mfumo wa Utekelezaji, Ufuatiliaji na Tathmini ya Mipango ya Maendeleo ya Taifa katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa leo tarehe 02 Oktoba 2012.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...