Spika
wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kushoto) akimkaribisha Balozi wa mpya wa India
nchini Tanzania Mhe Debnath Shaw. Balozi huyo alifika nyumbani kwa Mhe. Spika
mapema jana asubuhi kwa lengo la kujitambulisha kwake na kumfikishia salamu za
ushirikiano kutoka kwa Spika wa Bunge la India, Mama Meira Kumar.
Viongozi
hao wakiwa na mazungumzo ya kina ambayo yalilenga kupanua wigo wa mahusiano
baina ya Tanzania na India katika Nyanja za Afya (matibabu) na Elimu ya Ufundi.Prosper
Minja-Bunge




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...