Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki wakipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha Habari cha Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahunda Achentahka (kulia) wakati  walipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kituo cha Habari cha Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wakati  walipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tunataka kuwaona live kwenye TV ukumbi wa Bunge La Afrika Mashariki wakichangia hoja mbalimbali tuwapime kama hoja zao zinakwenda sambamba na mahitaji ya mwananchi wa Tanzania.

    Wabunge wenzenu wa Dodoma tunawaona live kwenye TV na kuwapima kwa michango ya hoja zao.

    Ankal wafikishie ujumbe kama hawasomia blogu hii ya jamii ila naamini Mh. Shyrose Bhanji hupitia humu hivyo wabunge wa EALA hawawezi kukosa meseji toka kwa vyanzo viwili.
    Mdau
    Namanga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...