Home
Unlabelled
Yale yaleeeeeee....barabara ya morogoro road leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
waacheni wafe au wadau tuseme nini?
ReplyDeletekibarabara kidogooo hiyo ndio highway inayojulikana tanzania nzima
na madereva wenyewe wamechoka kuishi waacheni watangulie maana hawasikii kamwe wamerogwa na mchawi wao kafa
These are killer-drivers, they are murderers.There is need for drastic measures, may I suggest where there is such irrefutable evidence eg a video of the offence,the involved vehicles should be seized as a penalty, they should be confiscated, and that will teach one and all a lesson to respect traffic laws.
ReplyDeletehilo Basi la BLue liko sahihi Bro. sababu ukiangalia kwenye lami chini kutoka site ya kushoto kuna dotted lines that means ni ruksa ku overtake kama mbele pako wazi kama ilivyo kwenye picha hiyo.
ReplyDeleteKama gari zote zingekuwa zinapanda (lane ya kulia) then overtake ingekuwa haitakiwi since kuna solid white line
Nadhani kunatakikana semina ya madereva wa nchi nzima, maana naona hawaelewi. Pia ingependekezwa baada ya semina waonyeshwe video zenye ajali za barabarani ama picha za watu waliohathiika na ajali hizo, then labda ingesaidia.
ReplyDeleteNaamini Maafisa usalama barabarani ni wapenzi wa hii blogi ya jamii pia na wanapo kutana na habari kama hii na yenye ushahidi tosha wa kuwa kamata hawa madereva ni kwa nini hawafanyi hivyo?.Namba ya gari ipo,picha inaonyesha kila kitu na ni sehemu gani mpiga picha atasema na panajulikana.Kwanza habari kama hizi zinatakiwa kuzitoa kwenye magazeti,TV kila kona atleast hata hao matajiri wakiona mabus yao yanavyo endesha watawachukulia hatua madereva wao kabla ya Raiya wasio husika kufa.
ReplyDeleteTrafic police msilale jama, watu wamechoka kufa,picha mzano, je mnataka nini ili muweze wakamata hawa watu?.Watolewe kwenye vyombo vya habari kama kampeni ya usalama barabarani.
Wee mdau unasema wako sawa ni mwehu kweli kwahiyo hata kama gari inakuja upande mwingine basi usichukue tahadhari, kanuni ya kuovertake unatakiwa uangalie kama salama kabla hujaovertake. Matatizo ya kuletewa leseni nyumbani hayaa,
ReplyDeleteBasi linafuata sheria za Marekani. Yaani hapo dereva anaamini kuwa kaondoka New York city mwendo mdundo anaitafuta DC. Hayo ndo matatizo ya kuishi Marekani miaka mingi.
ReplyDeletetuwalaumu madereva lakini na serikali nayo ilaumiwe,highway kama lane moja kwenda na nyingine kurudi,kweli serikali haina hela ya kutengeneza angalau lane mbili mbili kila upande?
ReplyDeletewasipofanya hivyo ajali hazitaisha au kupungua.
kwanza nampongeza mdau aliyetuma hii habari. kwanza napenda kuchangia kwa kumkosoa mchangiaji aliyesema kuwa nabasi liko sawa. ukweli ni kuwa ni unatakiwa u overtake na kurudi kwako kabla ya kumalizika broken lines. hii ni kuwa kama ni safe kufanya hivyo lakini katika picha hizi ni dhahiri kabisa kuwa basi lilikuwa katika harakati za ku overtake beyond eneo analoruhusiwa. ILA kilichoonistua zaidi ni kuwa alikuwa anaovertake wakati gari lingine liko mbele yake kwa misingi haoni kilichopo mbele yake. pia kulikuwa na gari likuja kutokea upande wa pili. safe drive nikumfanya dereva mwingine asibabaike au kufunga brake kutokana na kuendesha kwako. nainga hoja ya mdau kuwa ushahidi upo wa kutosha hatua zichukuliwe kwa kampuni na dereva. pia mafunzo bado naona leseni za mifukoni bado zipo.
ReplyDeletemimi mdau wa barabarani
Lah mambo ya kizamaniiii barabara moja tu?
ReplyDeleteSeriously, even the contractor who made the marks on that road is full of shit! You cant have dotted lines allowing one to overtake at that turn and morover on a hill. Mdau anayetumia sheria za US. has made my day. LoL
ReplyDeleteHizi picha zisiishie hapa jamvini tu. Kuna haja kila picha ya namna hii ipelekwe polisi na madereva wanaohusika wachukuliwe hatua za kisheria. Wakishagundua kuwa wananchi wanawapiga picha ambazo zinasababisha wao kuadhibiwa, watakuwa waangalifu wakatu mwingine.
ReplyDeleteTanzania barabara nyembamba zinasumbua. Unakuta lori refu linaenda pole pole barabara kuu... na magari yote na baiskeli na guta wote wanatumia barabara hiyo hiyo... sasa hapo wenye haraka...
ReplyDeleteKuna haja gani ya kuwa na Polisi wa usalama wa barabarani?
ReplyDeleteWatu wanakufa kwenye ajali wao wanachukuwa rushwa.
Nchi yoyote duniani inalindwa na sheria zake,ukiona ajali nyingi za barabarani ujuwe wa kulaumiwa ni Polisi wa usalama Barabarani.
Mimi kama waziri ningetengeneza vituo vya watu wa usalama kila baada ya kilometa kadhaa huko maporini ili ukitokea uzembe wao ndiyo wanipe taarifa. Ningeweka nyumba bora za familia za Polisi 10 na vituo vya Polisi wa usalama kila sehemu zenye matatizo ya ajali.
hakuna madereva tanzania. wengi wao ni wavuta bangi, walevi na mavuvuzela wasiojithamini wenyewe, mali (magari ya watu, wasiothamini abiria nk.
ReplyDeleteSeems like no one noticed that hata huyu mpiga picha gari lake liko wrong side sasa sijui analaumu nini na anafanya nini....
ReplyDelete$D