Home
Unlabelled
Barabara ya morogoro road yakarabatiwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
barabara ya morogoro ROAD...kwikwi
ReplyDeleteHongera.
ReplyDeleteIla inabidi iwekwe miferuji ya chini ya maji taka pamoja na njia za kupitishia umeme wa dharura n.k . ili kuepusha ukarabati wa mara kwa mara pamoja na kukwama kwa maji na kusababisha momonyoko wa lami.
hapo itamwagwa kapeti freeshi halafu zitapita wiki mbili tatu atakuja mweyu aanze kuchimba akidai anaweka fiber!!
ReplyDeletekaka,
ReplyDeleteXaxa mbona Magufuli habomoi hayo magorofa yaliyoko kwenye ROD RIZEV?
Au barabara za huko Uhindini hazinaga rod rizev.
Mbona kule kwetu Tandale kwa Tumbo na kule kwa Mkunduge tunabomolewa tunaambiwa tuko kwenye Rod Risev?
Huu si uonevu huu jamani?!?
oya nyie mbona mnazingua, barabara ya Morogoro ROAD ndio nini?
ReplyDeleteMdau wa kwanza hapo juu huenda ni mgeni katika hili libeneke. Hiyo ndiyo lugha sahihi kwa watumiaji wa hapa.
ReplyDeletekidumu chama cha mapinduzi
ReplyDeleteMchuzi lete picha za mitaa ya Gerezani na Kariakoo wache jamii kwenye blog wapate elimu ya ukweli.
ReplyDelete