
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilitolea ufafanuzi jambo kwa wajumbe mbalimbali waliofika katika siku ya pili ya mkutano mkuu wa nane wa CCM unaoendelea hivi sasa katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Amani Abeid Karume
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo katika siku ya pili ya mkutano mkuu wa nane wa CCM unaoendelea hivi sasa katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Amani Abeid Karume na Kulia ni Makamu Mwenyekiti Bara, Pius Msekwa.
Waziri Mkuu, Mh.Mizengo Pinda akisoma taarifa ya serikali ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi.
Wajumbe wa mkoa wa Iringa wakifuatilia kwa ukaribu taarifa mbalimbali za utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi iliyokuwa ikisomwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Baadhi ya wajumbe wa mkoa wa Arusha wakiwa katika mkutano huo leo.
Baadhi ya wake wa Viongozi na waasisi wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe kutoka mkoa wa Dodoma ambao ndio mkoa wenyeji wakifuatilia kwa umakini taarifa mbalimbali za utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi.kwa picha zaidi BOFYA HAPA.
Betty Mkwasa wazidi kupendeza tu dada, kweli ukuu raha...
ReplyDelete