Mwakilishi wa Kampuni ya
Safari Yetu, Arnold Minde akitoa mafunzo katika semina ya shindano la
mchanganuo wa biashara kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu iliyodhaminiwa na benki ya
CRDB na kufanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Kampuni ya KINU, John Baretto akitoa mafunzo katika semina ya shindano la mchanganuo wa biashara kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu iliyodhaminiwa na benki ya CRDB na kufanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Mmoja wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akipata nafasi ya kuuliza maswali kuhusu mchanganuo wa biashara
Baadhi ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu wakiwa katika mafunzo hayo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...