Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir akizindua Bodi ya Utumishi ya Afisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar huko Maisara.
Mwenyekiti wa Bodi ya Utumishi ya Afisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Amina Juma Zidi Kheir akishukuru baada ya uzinduzi wa Bodi hiyo huko Maisara.
Picha ya Pamoja ya Wajumbe wa Bodi ya Utumishi ya Afisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar pamoja na Waziri Haji Omar Kheir akiyekaa pamoja na Katibu Mkuu wake Joseph Meza kuliani kwake huko Maisara.Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...