Redd's Miss Tanzania 2012,Brigitte Alfred (katikati) akiwa na mshindi wa Pili,Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu,Edda Sylvester (kulia) mara baada ya kutangazwa mshindi wa Redd's Miss Tanzania 2012 iliyomalizika usiku huu katika ukumbi wa hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.
 Redd's Miss Tanzania 2012,Brigitte Alfred akirurahia mara baada ta kutangazwa mshindi katika shindano lililomalizika hivi punge kwenye ukumbi wa
hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ME DON`T GET IT, WHERE IS THE "WO WO WO?",BEAUTY IS IN THE EYES OF THE BEHOLDER, I LIKE A WOMAN WITH SOME MEAT TO HOLD ON TO, AND NOT THESE SKINNY ONES, WE NEED TO EMANCIPATE OURSELVES FROM MENTAL SLAVERY, STOP BEING COPYCATS BY CHERISSING ANYTHING WESTERN.

    ReplyDelete
  2. Hamna kitu

    David V

    ReplyDelete
  3. Mbona miss Tanzania Hana crown ilikuwaje tena hapo

    ReplyDelete
  4. Mdau wa kwanza correction !! Booty is in the eyes of the beholder kweli hakina kina Stella Tingisha siku hizi

    ReplyDelete
  5. She is very very very beautiful!

    ReplyDelete
  6. Congratulations to her!

    But kigezo kimiojawapo lazima kiwe jina halisi la kiTanzania sio haya ya hao wote watatu!!! What is Alfred, Fabian and Sylvester, bana!!! Kwani hawa wazungu??!! Miss Tanzania akienda Ms. World visa atapata kwa jina hilo au la ukoo wao wa akina Mashingia??

    Wenzetu wa eastern Europe wanatinga hivyo hivyo na majina yao maguuuuumu, iwe sisi???

    Namna gani hii!!!????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...