Redd's Miss Tanzania 2012,Brigitte Alfred (katikati) akiwa na mshindi wa Pili,Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu,Edda Sylvester (kulia) mara baada ya kutangazwa mshindi wa Redd's Miss Tanzania 2012 iliyomalizika usiku huu katika ukumbi wa hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.
Redd's Miss Tanzania 2012,Brigitte Alfred akirurahia mara baada ta kutangazwa mshindi katika shindano lililomalizika hivi punge kwenye ukumbi wa
hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Redd's Miss Tanzania 2012,Brigitte Alfred akirurahia mara baada ta kutangazwa mshindi katika shindano lililomalizika hivi punge kwenye ukumbi wa
hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI





ME DON`T GET IT, WHERE IS THE "WO WO WO?",BEAUTY IS IN THE EYES OF THE BEHOLDER, I LIKE A WOMAN WITH SOME MEAT TO HOLD ON TO, AND NOT THESE SKINNY ONES, WE NEED TO EMANCIPATE OURSELVES FROM MENTAL SLAVERY, STOP BEING COPYCATS BY CHERISSING ANYTHING WESTERN.
ReplyDeleteHamna kitu
ReplyDeleteDavid V
Mbona miss Tanzania Hana crown ilikuwaje tena hapo
ReplyDeleteMdau wa kwanza correction !! Booty is in the eyes of the beholder kweli hakina kina Stella Tingisha siku hizi
ReplyDeleteShe is very very very beautiful!
ReplyDeleteCongratulations to her!
ReplyDeleteBut kigezo kimiojawapo lazima kiwe jina halisi la kiTanzania sio haya ya hao wote watatu!!! What is Alfred, Fabian and Sylvester, bana!!! Kwani hawa wazungu??!! Miss Tanzania akienda Ms. World visa atapata kwa jina hilo au la ukoo wao wa akina Mashingia??
Wenzetu wa eastern Europe wanatinga hivyo hivyo na majina yao maguuuuumu, iwe sisi???
Namna gani hii!!!????