Chemba ya mikutano ya Bunge la Afrika Mashariki jijini Arusha kama linavyoonekana kwa lensi ya jicho la samaki wakati wa mkutano wa kikao cha tatu cha Bunge hilo lililohutubiwa na Rais Jakaya Kikwete ambapo asubuhi hii atalifungua rasmi jengo hilo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Woooow naona sasa precision wameka well advanced kwenye digital space, niliitembelea Facebook Yao last week ipo very organized, na inapendeza maana nliuliza swali within 3minutes nikajibiwa hapo hapo, ngoja niende nkajishindie tiketi yangu ya Bure. Kudozz kwao ila Inabidi wapunguze Nauli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...