Mkurungenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja katika Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Canossa Deborah Muro, baada ya kukabidhi cheki ya Sh.milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa chumba cha kidato cha tano,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa (kushoto) akikabidhi mfano wa Hundi yenye thamani ya Sh. milioni 5 kwa Mwenyekiti wa Bodi ya shule ya Canossa Injinia Machibya Magayane kulia wakati wa mahafali ya kidato cha nne yaliyofanyika hivi karibuni shuleni hapo.katikati ni Mkuu wa shule hiyo Sista Angela Mlipano.
Mkurungenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja katika Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akisoma risala katika hafla ya kuhitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondaeri ya Canossa kabla ya kukabidhi cheki ya sh.milioni 5 kwa ajili ya kuchangia ahule hiyo kwa kujenga chumba cha kidato cha tano Dar es Salaam hivi karibuni. kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo Sr Angela Mlipani na Mwenyekiti wa Bodi ya shule Eng. Dr ,Machibya Magayane.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...