VERONICA BUNG'ANDO 1956------2010
LEO TAREHE 02/11/2012 UMETIMIZA MIAKA MIWILI TANGU ULIPOITWA
NA MWENYEZI MUNGU. ILIKUWA NI VIGUMU KUZOEA KUTOKUWEPO
KWAKO LAKINI KWA MSAADA WA MUNGU AMETUJALIA KUZOEA.
UNAKUMBUKWA SANA WA WATOTO WAKO VALENTINA CHASAMA;
ZAKARIA, ANNASTAZIA, MARIA NA RAYMOND. PIA UNAKUMBUKWA NA WAKWE
ZAKO WOTE PAMOJA NA WAJUKUU WAKO WOTE NA WANAJUMUIYA WENZAKO
WA JUMUIYA YA MT. PETRO SHINYANGA.
MISA YA KUMBUKUMBU INAFANYIKA LEO TAREHE 02/11/2012 KATIKA KANISA KUU
LA MAMA WA HURUMA NGOKOLO SHINYANGA. KARIBUNI SANA.
ROHO YA MAMA YETU VERONICA BUNG`ANGO IPATE REHEMA KWA MUNGU
IPUMZIKE KWA AMANI. AMINA.
ASANTE.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...