Ilikuwa ni mwanzo wa maisha mapya kwa Shaaban Tarshi (kushoto) wakati alipofunga ndoa na Ghanima Ahmad katika sherehe iliyofanyika Ilala jijini Dar es Salaam jana Alhamisi Novemba 22, 2012. Shaaban ni msanifu kurasa wa kampuni ya The Guardian LTD na mkewe Ghanima pia ni msanifu kurasa wa kampuni binafsi ya Kariakoo jijini pia.
Home
Unlabelled
HAYAWI HAYAWI, YAMEKUWA.... SHAABAN TARSHI ACHUKUA JIKO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Huo utakuwa uzalilishaji kwa kumwita mke jiko!!
ReplyDeleteHongereni mmependeza, nawatakia maisha marefu ya ndoa.
ReplyDeleteHongera mkuu shebi. Kijana Mpole sana .dah shebi hata kadi wangu..Usiisau kinondoni mkwajuni...kwa mwalimu kambiii. Ila na Abuu afuate nyayo zakooo.
ReplyDeletejamani tujaribu kujirekebisha matashi ya kumwita mke jiko,baadala yake tumwite mke malikia
ReplyDeleteKila binadamu amezaliwa FREE. Ukichagua kuoa hilo ni tatizo lako.
ReplyDeleteInshallah Mwenyezi Mungu awape maisha mema katika ndoa yenu.
ReplyDeleteAmeeeeeeennnnn !!!
Wameoana, msije mkaanza tena nyienyie kuwachonganisha.
ReplyDeleteTuwe na utamaduni wa kuwatakia mema wenza ktk maisha hasa ya Ndoa!