Mkurugenzi wa Shirika la Wanawake katika sheria na maendeleo Afrika (WiLDAF) Dk. Judith Odunga (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia,uliofanyika leo jijini Dar.kulia ni Christina Kamili kutoka shirika la TANLAP na katikati ni Theodosia Muhulo Nshala wa WLAC.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...