Drizzle Detective Agency (DDA) is a Private Company established in 2010 operating under three dedicated directors of different Professions with a wide Experience in many fields namely Security Services, General Investigations and Fraud Investigation. Our firm has been fully Registered and Authorized by Ministry of Home affairs and conducting its Activities Accordance with all Applicable laws.
Our Services:
General investigation, Fraud Investigation, Security services Management Consultancy, Technical Security Consultancy, Professionals Staff Vetting, and Risk Management.
Contacts
Old posts Office,
Mkwepu Street
Tel 0767999356, 0767999336, 0774444497
Email: info@drizzledetectiveagency.com
Website: www.drizzledetectiveagency.com
Mimi nataka ku hire private investigator kufuatilia movement za mume wangu....Je mnatoa hiyo servcice. I will pay you handsomely!
ReplyDeleteWhat do you mean by general investigation? Do you do cheeters investigation?
ReplyDeleteDDA-PrivatE Investigation Firm,
ReplyDeleteHongera sana kwa hii kazi nzuri!
Isipokuwa eneo hilo ya masuala ya Upelelezi Binafsi ni nyeti sana pia mjenge zaidi uaminifu kwa Namba za simu za mezani na sio simu za Viganjani ambazo muda mwingine zinakuwa mawasiliano ni tete licha ya kuzimwa!
Duh? hii sijawahi kuisikia. Nadhani hapa kuna kukiukwa kwa katiba na hasa katka hili la "General investigation".
ReplyDeleteTaasisi binafsi inaruhusiwa vipi na serikali kufanya General investigation? Kama taasisi ambayo lengo lake ni kutengeneza pesa(kupata faida kipesa) inaruhusiwa kufanya General investigation basi hatuko salama.
Kwa mfano, mtu akitaka kufanya utafiti kuweza kujua ni mawaziri wangapi wameathirika na VVU, je taasisi hii inaruhusiwa kufanya uchunguzi huo? Au inaruhusiwa kuchunguza walalahoi tuu?
Mipaka ya kazi zake ni zipi? na imesajiliwa kwa kanuni zipi?
Kama tasisi hii inaruhusiwa kuwepo tunaomba pia turudishiwe ile website/blog ya zeutamu kwa sababu kimsingi zinafanya kazi zinazofanana.
Watu pressure zimeshaanza kupanda....haya mambo ya kawaida...yapo nchi nyingi ulimwenguni. sioni sababu ya kuwapiga stop. hii itasaidia kunyooshana...maana sioni kesi za ku investigate zaidi ya za cheaters. Kama ni za rushwa sijuhi nini si wapo kina Manumba. Big up mwenye hii kampuni...umekuwa so creatrive...hiki kilikuwa kilio cha wanandoa wengi. Lol.
ReplyDeleteHapa nsha chukua kontakti.
Mdau hapo juu mbona umeingiwa na woga ghafla? Kama wewe ni msafi una tatizo gani. talinganishaje hii na ze utamu wakati watu wameshakuambia wao ni investigators kwa maana kuwa wanakuja na full evidence ambazo unapewa wewe mteja na si kumwaga mtandaoni; ze utamu hatuwezi jua kama kulikuwa na ukweli kwenye taharifa zao....hawa ni professional evidence watakazotoa naamini zinatosha hata mahakamani....kama una vimeo ndo ujue, anza kujirekebisha.
ReplyDeleteKweli kabisa, wekeni LANDLINES. Hii ya cellphones imekaa ki ofisi ya briefcase zaidi, it does not look serious.
ReplyDeleteInvestigations iachieni SERIKALI, toeni huduma za ubodigadi tu na chunguzi za ki cheaterscheaters.
Mwanamama Mdau wa kwanza anony Mon Nov 19, 09:57:00 AM 2012
ReplyDelete...kumdhibiti mume kwataka 'uijue mizugu' na kumfuatilia mume utapata matatizo ya 'sukari kupanda, na 'shinikozo la moyo' !
Nakushari jukumu la kumfuatilia mumeo usiwape Makachero wa Kukodi hao watafute kwa masuala ya Makosa ya Jinai, unatakiwa ukawaone Mabibi wazee wakujuze kumshika mumeo.
Bibie wa kwanza, Mon Nov 19, 09:57:00 AM 2012
ReplyDeleteMume hafuatiliwi na kupelelezwa kwa msaada wa Mashushushu wa Kukodi huhitaji hilo, unachotakiwa mshike Mumeo kuanzia JIKONI, BAFUNI, CHUMBANI hadi KITANDANI!
Mtoa maoni wa 8 anony Tue Nov 20, 08:23:00 AM 2012
ReplyDeletema kweli...kumdhibiti mume kwataka 'uijue mizungu'.
Tatizo kubwa ni kuwa maandalizi na Ndoa nyingi za Kisasa yanatanguliwa na Kitchen Part zisiyokuwa na mafunzo haya sahihi kama walivyokuwa wakitoa Mabibi Wazee miaka hiyo ktk kuandaa Mabibi Harusi!
Kitchen Party nyingi zimejaa Mipahso na Maonyesho yasiyo rasmi badala ya kuegemea zaidi kumwandaa manamke mhusika na ndoa.
Duhhh kaaaazi kweli kweli,
ReplyDeleteUdhibiti wa mume upo mikononi mwa Mawakala wa Upelelezi!
Hii ya mwaka!
Je, kama wameruhusiwa Kufanya Huduma za Upelelezi Binafsi mtatuhakikishiaje kuhusu haya mawili hapa:
ReplyDelete1.Michakato kufanywa bila ounevu au kupendelea upande mmoja?
2.Vipi kuhusu wigo wa rushwa kupanuka hapo?
Kama mmeruhusiwa Kisheria Kufanya Upelelezi Binafsi je:
ReplyDelete1.Mtatuhakikishia vipi ya kuwa michakato itafanyika kwa haki bila uonevu au kupendelea upande mmoja?
2.Vipi kuhusu mianya ya Rushwa hapo?
Bibie mtafute 'Dakitari' aliyefanya ile kazi Temeke ya 'kugandiana' ili umpige kufuli Mumeo!
ReplyDeleteAhaaa nadhani hili Shririka litakuwa na Wateja wengi akina mama kwa ajili ya wivu kwa Waume zao!
ReplyDeleteThis is such a great resource that you are providing and you give it away for free. I love seeing blog that understand the value of providing a quality resource for free. Private detectives in Madrid
ReplyDelete