Mlezi na Mshiriki wa Kupanda Mlima Kilimanjaro, safari ijulikanayo kama 'Annual Kilimanjaro Climb,  Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jeneral mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), George Waitara, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu safari hiyo itakayowashirikisha Wabunge, Wanajeshi na wananchi wa kawaida, itaanza Disemba 6 na kufika kileleni mwa mlima huo Disemba 9, ambayo ni siku ya  maadhimisho ya Jamhuri na Uhuru wa Tanzania. Kushoto ni mmoja wa wadhamini wa safari hiyo, Balozi Charles Sanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...