Mkurugenzi wa ICEA LION, Dunkan Nderitu Ndengwa kutoka nchini Kenyaambaye ndiye mgeni rasmi wa mashindano ya mwaka huu ya Johnnie Walker Waitara  akijiandaa kupiga kipira wakati akianza kucheza katika mashindano hayo hii leo. Ndengwa pia ni Mlezi wa Chama cha Gofu nchini Kenya. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker. Kampuni ya Ndege ya Precision Air nao ni miongoni mwa wadhamini wa Mashindano hayo.
 Mzee Nicolaus Silwinga akijiandaa kupiga kipira katika hall namba moja wakati wa mashindano ya kuwania kombe la John Walker Waitara yaliyofanyika katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon (kulia) akiwa amesimamam na mmoja wa wacheza Golfu wenzake David Molel muda mfupi kabla ya kuanza kucheza gofu katika mashindano ya Johnnie Walker Waitara  yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker. Kampuni ya Ndege ya Precision Air nao ni miongoni mwa wadhamini wa Mashindano hayo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon akipiga kipira katika shimo na mba moja wakati wa mashindano ya  Golfu wenzake ya John Walker Waitara  yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker. Kampuni ya Ndege ya Precision Air nao ni miongoni mwa wadhamini wa Mashindano hayo.
 Mcheza gofu David Molel akipiga kipira katika shimo na mba moja wakati wa mashindano ya  Golfu wenzake ya John Walker Waitara  yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker.
Jenerali Mstaafu, Mirisho Sarakikya akipiga kipira katika shimo namba moja wakati wa mashindano ya  Golfu wenzake ya John Walker Waitara  yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nje kidogo ya Gofu.Bei ya madafu vipi(Exchange rates)?,umetusahahu mkuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...