Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha mjumbe wa tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu John Mkwawa pamoja na Katibu wa Tume ya Kurekebisha sheria Bi.winfrida Beatrice Korosso katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Pichani juu ni mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu John Mkwawa(8724) na chini ni Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Bi.Winfrida Beatrice Korosso(8734) Wakila kiapo mbele ya Rais leo Ikulu jijini Dar es salaam
Home
Unlabelled
JK aapisha mjumbe wa tume ya taifa ya uchaguzi, katibu wa tume ya kurekebisha sheria
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...