Mwenyekiti wa kamati ya dunia ya sayansi na taaluma ya mabadiliko ya tabia nchi Bw. Richard Muyungi akibadilishana mawazo juu ya utendaji kazi wa kamati hiyo na Makamu wake Bw. Narcis Jeler kushoto, kutoka wizara ya Nishati na Misitu ya nchini Romania, baada ya ufunguzi wa mkutano wa 18 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi duniani unaondelea mjini Doha nchini Qatar. (Picha na Evelyn Mkokoi)
Home
Unlabelled
mkutano wa mabadiliko ya nchi jijini Doha, Qatar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...