WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH DKT ABDALLAH OMARI KIGODA (MBUNGE), AMEIVUNJA BODI YA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) KUANZIA SIKU YA LEO JUMATANO, NOVEMBA 21, 2012.

SABABU  YA UAMUZI HUU NI KUTEKELEZA NIA YA WIZARA YA KUBORESHA UTENDAJI WENYE  TIJA NA UFANISI KATIKA SHIRIKA HILO LENYE DHAMANA KUBWA YA KUSIMAMIA VIWANGO VYA UBORA WA BIDHAA NCHINI.

UTARATIBU WA KUUNDA BODI MPYA UMEANZA.
  
IMETOLEWA NA
 WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ok isiishie kuivunja Tu!! Imemridhisha Boss hawakuwajibika vema!! Wachukuliwe hatua-Kamwe wasitokee kunako bodi nyenginewe na maamuzi yao ya hivi karibuni yavunjwe sawia!! Else ni Usanii mtupu!! Na watakaokuja pamoja na nia njema watalewa mvinyo huohuo!!
    Chupa mupya Mvinyo Uleule!!

    ReplyDelete
  2. TBS,TFDA,TAKUKURU WAMESHINDWA KUWAJIBIKA IPASAVYO NA MADHARA YAKE YANAONEKANA WAZI KWA WATU,VITENGO AU WADAU AMBAO WANATEGEMEA MOJA KWA MOJA HUDUMA ZA HIZI TASISI. KAMA KUNGEKUA NA UWEZEKANO WA KUVUNJWA HIZI TASISI NA KUUNDWA UPYA KWA KUFUATA MISINGI YA UWAJIBIKAJI NADHANI INGESAIDIA VINGINEVYO NCHI INAZAMISHWA NA HIZO TAASISI YATAKA TAFAKARI NA UPEO KUJUA JINSI GANI WANAHUSIKA MOJA KWA MOJA NA TUHUMA HIZI.

    ReplyDelete
  3. Na Ekelege wa TBS ameishia wapi?

    Mwenzie Mhando aliyekuwa Tanesco yupo kwenye Banda lake la kuku Tegeta amefungua Mradi wa Ufugaji kuku!

    ReplyDelete
  4. UNAJUA BWANA WAZIRI KIGODA USSISHIE HAPO HEBU KAA NA WAZIRI MWENZAKO WA AFYA TUNAKUFA SISI KUNA HAYA MADAWA YA TIANSHI/SWISSGRADE/QUESTNET/FOREVER LIVING PRODUCT/GNLD HIVI KWELI NI SAWA TUNAVYOTENDEWA SISI WA TZ?? KWANZA YANAUZWA HADI VIRABUNI NA WATU AMBAO HATA ELIMU HAWANA THEIR NOT PROFFESSIONARS SASA TUNAJIULIZA KAMA DAWA ZOTE ZINATAKIWA ZIWEKWE MAHALI SAFI NA SARAMA LEO ZINAUZWA HADI KWENYE MABASI KAMA KOROSHO! MAMA MMOJA NILIMSIKIA AKILALAMIKA KUWA ALINUNUA SIKU MOJA ANAMPELEKA MTOTO WAKE SHULE DAWA YA MSWAKI YA FOREVER LIVING BASI YULE BINTI ALIVIMBA MDOMO HADI BASI! SASA HAYA MADAWA NA HAO WATU NI NANI ANAWAPA VIBALI KAMA SIYO RUSHWA HIZI JAMANI??? TENA WANATAMBA KABISA KUWA WAO WANALIPA KODI NA NI WA TATU HIVYO SERIKALI HAINA UBAVU WA KUSITISHA BIDHAA ZAO JAMANI TUNAKWENDA WAPI?? HONGERA MH KIGODA! MH MWINYI TUNAPENDA MAJIBU YA MSINGI NA BIASHARA HII IKOMEHSWE MARA MOJA! SITISHENI KWAZA UTUMIAJI NA UTEMBEZAJI WA MADAWA HAYA KAMA WAMESHINDWA KWEKA MADUKA BASI! BIASHARA GANI HIZI ZA MIKONONI JAMANI KWA AFYA ZA WATU?? HAWA WATU TUTAWAPATAJE KAMA TUKIDHTULIKA KAMA HUYO MTOTO?? UJINGA GANI HUU? KISA PESA! KAMATA WOTE NA SITISHA VIBALI VYAO MALA MIJA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...