Naibu
Waziri wa Fedha,Mh. Janeth Mbene akitoa hotuba yake wakati wa Uzinduzi
wa Kampuni ya Bima ya Afya ya Resolution katika hoteli ya Serena,jijini
Dar es Salaam hivi karibuni.Uzinduzi wa Kampuni hiyo umekuja rasmi mara
baada ya kupata cheti cha usajili wa kutoa bima ya afya nchini kutoka
kwa Mamlaka ya Usimamizi ya Bima (TIRA).
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya bima ya Resolution,Peter Nduati akizungumza
kwenye hafla hiyo ya uzinduzi wa Kampuni hiyo uliofanyika kwenye hoteli
ya Serena,jijini Dar es Salaam hivi karibuni,ambapo alisema kuwa Kampuni
yake imejipanga kufanya mapinduzi katika soko la Tanzania.
Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima (TIRA), Israel Kamuzora akizungumza kwenye hafla hiyo.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Janeth Mbenr (kushoto) akiwa pamoja na Mjunbe wa Bodi ya Kampuni ya Resolution,Richard Kasesela wakati wakifuatilia kwa makini taarifa fupi iliyokuwa ikitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya bima ya Resolution,Peter Nduati (hayupo pichani).






Richard Kasesela huyu nae mjumbe katika kila bodi hivi hakuna watu wengine au ndio usalama wa taifa lazima muwepo kila sehemu?
ReplyDelete