Kip-lefti mpya imezinduliwa leo katikati ya jiji la Dar, hususa barabara ya Azikiwe avenue kama inavyoonekana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hiyo ndio bongo bwana watu hawana habari kila mtu na lwake, hata ukiweka gogo tutapinda kushoto au kulia kisha tunasepa hakuna kuulizana wala kuhitaji kumtambua nani muhusika mkuu.
    Usipoangalia mwezi utapita na hakuna litakalofanyika.

    ReplyDelete
  2. Not a bad idea. I'd love to see more of them.

    ReplyDelete
  3. Hapo juu mwanzoni kuna habari inayomsifia Mhe. Slaa kwa kufanya jiji kuwa safi na Green hususan kwenye keep lift, je hapa vipi? Uzinduzi ulifanywa na nini? Cha kushangaza wakubwa wanapita wanaona lkn hatua hazichukuliwi...ni aibu sana mtandao wa barabara ndani ya jiji la Dar sio mzuri. Tunahitaji jitihada zaidi...

    ReplyDelete
  4. Ili kufikia maendeleo, tuna njia ndefu mno !!!

    ReplyDelete
  5. Halafu pyeee ,pyeee , pyeke pyeke pyeke Darisalama tuko juuuu!, tunajilinganisha na Majiji ya wenzetu kama Nairobi, Kampala na Kigali?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...