Home
Unlabelled
kip-lefti mpya yazinduliwa katikati ya jiji la Dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo ndio bongo bwana watu hawana habari kila mtu na lwake, hata ukiweka gogo tutapinda kushoto au kulia kisha tunasepa hakuna kuulizana wala kuhitaji kumtambua nani muhusika mkuu.
ReplyDeleteUsipoangalia mwezi utapita na hakuna litakalofanyika.
Not a bad idea. I'd love to see more of them.
ReplyDeleteHapo juu mwanzoni kuna habari inayomsifia Mhe. Slaa kwa kufanya jiji kuwa safi na Green hususan kwenye keep lift, je hapa vipi? Uzinduzi ulifanywa na nini? Cha kushangaza wakubwa wanapita wanaona lkn hatua hazichukuliwi...ni aibu sana mtandao wa barabara ndani ya jiji la Dar sio mzuri. Tunahitaji jitihada zaidi...
ReplyDeleteIli kufikia maendeleo, tuna njia ndefu mno !!!
ReplyDeleteHalafu pyeee ,pyeee , pyeke pyeke pyeke Darisalama tuko juuuu!, tunajilinganisha na Majiji ya wenzetu kama Nairobi, Kampala na Kigali?
ReplyDelete