Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Mhandisi Reginald Kimambo akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa taasisi hiyo, ramani ya ujenzi wa jengo la ghorofa saba walipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi huo, Dar es Salaam leo. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
Wajumbe wakielekea kuangalia eneo patakapojengwa jenmgo hilo
Wajumbe wakinagalia ramani
Wafanyakazi wa MOI wakielekea sehemu ya kiwanja
Wakiangalia sehemu ya uwanja huo
Sehemu ya kiwanja hicho
Maandalizi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...