Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa sambamba na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbu kumbu ya Hubert Kairuki Dr. Salim Ahmed Salim wakiingia katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam katika mahafali ya 10 ya Chuo hicho.
Baadhi ya wahitimu wa Mkupuo wa kumi wa Chuo Kikuu cha Kumbu kumbu ya Hubert Kairuki wakiwa katika sherehe za mahafali ya kukamilisha mafunzo yao Jijijini Dar es salaam.
Muhitimu wa fani ya Uuguzi katika Chuo Kikuu cha Kumbu kumbu ya Hubert Kairuk Jijini Dar es salaam Arafa Mabrouk Haji akipokea cheti chake kutoka kwa Mkuu wa Chuo Hicho Dr. Salim Ahmed Salim kwenye mahafali ya kumi ya Chuo huicho.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Kumbu kumbu ya Hubert Kairuki wakisimama kutoa Heshima wakati Wimbo wa Taifa ukiimbwa ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee Mjini Dar es salaam.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...