Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (kushoto) akisalimiana na Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda na Mbunge wa Tabora Mjini Mhe. Ismail Rage (kulia) mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kukusanaya ya Wabunge kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma leo Jumamosi, Novemba 3, 2012.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano wa kukusanya maoni ya Wabunge kuhusu Katiba Mpya mjini Dodoma leo Jumamosi, Novemba 3, 2012. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba, Makamu wake Jaji Augustino Ramadhani na Katibu wa Tume Bw. Assaa Rashid.
Mbunge wa Dole Mhe. Sylvester Mabumba akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano huo.
Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano) Mhe. Steven Wassira akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano huo.
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Singida Mhe. Diana Chilolo akitoa maoni yake katika mkutano huo.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akitoa maoni yake katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (kushoto) akisalimiana na Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda na Mbunge wa Tabora Mjini Mhe. Ismail Rage (kulia) mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kukusanaya ya Wabunge kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma leo Jumamosi, Novemba 3, 2012.

Ankali misupu nina swali ningependa nikuulize hapahapa uwani sina haja ya kukufata kibarazani
ReplyDeletehivi ankali ni kwanini hugombei ubunge ? au hutaki kupanda mashangingi ma vx ?
au hutaki kujiunga na ufisadi ndio maana unaogopa kugombea ubunge wa kule nanii?
asante sana ningelipenda unijibu hapahapa uwani
Ankal haukupata video au hata sauti tukajuwa waheshimiwa wana mtazamo gani?
ReplyDelete