Mkurugenzi wa Kampuni ya Mishangu International Ltd Bw. Omary Omary akikabidhiwa cheti cha tathmini ya mazingira kutoka kwa Mkurugenzi wa kitengo cha kutathmini athari ya mazingira (EIA) wa Baraza la Mazingira Tanzania (NEMC) Bw.Frederick Rugiga. Cheti hicho kitawaruhusu kufanya kazi ya kuchimba madini aina ya gypsum katika eneo la Makangaga Kilwa, wanaoshuhudia tukio hilo katikati kulia ni ndugu Godbless Kweka na Jonathan Mwanayongo ambao pia ni wakurugenzi wa kampuni hiyo. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi za NEMC jijini Dar Es Salaam mwishoni mwa wiki.
Home
Unlabelled
makabidhiano ya cheti cha uchimbaji madini aina ya gypsum
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.jpg)
Walau huwa napata amani shavu kupewa mzalendo na si vinginevyo licha ya kuwa baadhi ya wazalendo huwa wanatuangusha.
ReplyDeleteNatamani kama sehemu zote muhimu zingekua zinamilikiwa na watanzania wenyewe.