
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki jijini Dar es salaam

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiangalia moja ya kitabu kilichokuwa katika banda la maonyesho, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki jijini Dar es salaam.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu utengenezaji wa Vikapu kutoka kwa mwakilishi wa Kikundi cha Women Craft, Edron Mwaku, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akivishwa urembo na Miss Tanzania 2008, Nasreen Karim, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...