Kiongozi wa bendi Mashujaa, Charlz Baba (katikati) akiongoza safu ya
ushambuliaji ya Bendi yao hiyo wakati wa Mazoezi kwa ajili ya Uzinduzi
wa albam yao ya Pili iitwayo "Risasi Kidole" wakiwa sambamba na Bendi
maarufu ya Congo, Wenge BCBG chini ya mwanamuziki nguli JB Mpiana.Shoo
ya uzinduzi huo itafanyika kesho kwenye viwanja vya Leaders
club,Kinondoni jijini Dar es Salaa.
Kiongozi wa bendi Mashujaa, Charlz Baba (alieruka juu) akiongoza safu ya ushambuliaji ya Bendi yao hiyo wakati wa Mazoezi kwa ajili ya Uzinduzi wa albam yao ya Pili iitwayo "Risasi Kidole" wakiwa sambamba na Bendi maarufu ya Congo, Wenge BCBG chini ya mwanamuziki nguli JB Mpiana.Shoo ya uzinduzi huo itafanyika kesho kwenye viwanja vya Leaders club,Kinondoni jijini Dar es Salaa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...