Mganga Mkuu wa Meno Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Ahadiel Senkoro akimkagua meno mwanafunzi wa Shule ya Liones Miburani, Said Mkuki alipokuwa akizindua Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Kitaifa, Dar es Salaam jana. Kulia ni Rais wa Chama cha Madaktari wa Meno Tanzania, Dk.Rachel Mhaville na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Tunsume Mwaigwisya.
Home
Unlabelled
UZINDUZI WA SIKU YA KINYWA NA MENO KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Rachael njoo huku mtoni jua la bongo linakumaliza, zamani ulikuwa umekolea rangi, nice 2 c that ur doing well.
ReplyDelete