Marehemu Hussein Ramadhan Mkieti a.k.a Sharo Milionea enzi za uhai wake.
Waumini wa Kiislam wakiwa katika Ibada ya Kuuswalia Mwili wa Marehemu Hussein Ramadhan Mkieti a.k.a Sharo Milionea aliefariki kwa ajali ya Gari hivi karibuni huko Muheza,Mkoani Tanga.
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Hussein Ramadhan Mkieti a.k.a Sharo Milionea likiwasili Nyumbani tayari kwa Taratibu za Mazishi yaliyofanyika leo kwenye Kijiji cha Lusanga,Wilayani Muheza,Mkoani Tanga.
udogo ukitupiwa kaburini wakati wa mazishi ya Msanii wa Muziki na Filamu hapa nchini,Marehemu Hussein Ramadhan Mkieti a.k.a Sharo Milionea,ambayo yalihudhuliwa na Watu mbali mbali hapa nchini,wakiwemo viongozi katika kijiji cha Lusanga,Muheza Mkoani Tanga.
Muigizaji Maarufu hapa nchini,Mzee Athuman Amri a.k.a King Majuto ambaye ni Baba Mdogo wa Marehemu Hussein Ramadhan Mkieti a.k.a Sharo Milionea akitupa mchanga kaburini wakati wa Mazishi ya Sharo yaliyofanyika leo katika kijiji cha Lusanga,Muheza Mkoani Tanga.
Vijana wakiwa wamepanda mnazi kuona mazishi ya Msanii wa Muziki hapa nchini,Marehemu Hussein Ramadhan Mkieti a.k.a Sharo Milionea katika kijiji cha Lusanga,Muheza Mkoani Tanga.Picha na Bashir Nkotomo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. INALILAH WAINAILAYHI RAJIUN.. SHUGHULI YAKE ISHAMALIZIKA KAZI KWETU TULIOBAKI HAI, SWALA MUHIMU NDGU ZANGU...... BY THE WAY BIG UP KWA NAPE NNAUYE KWENYE KILA SHUGHULI YUPO , KEEP IT UP BRO

    ReplyDelete
  2. NASHINDWA KUELEWA NIKWANINI WACHACHE NDIO WALIOAMUA KUMSALIA MAITI WENGINE WAKIWA PEMBENI WAMESHIKILIA JENEZA.....HAIPENDEZI

    ReplyDelete
  3. INNALLILLAHI WAINNAILEYHI RAJIUUN FROM ALLAH WE CAME TO ALLAH WE GO BACK! I ONLY PRAY TO ALLAH THE ALMIGHTY THAT HE FORGIVES US MUSLIM BROTHERS AND SISTERS FOR OUR SINS! AND I PRAY THAT HE GRANTS US JANATU FIRDAUSA! INSHAALLAH! MAY YOU REST IN PEACE BRO AMEEN!

    ReplyDelete
  4. Namuona class mate wangu wa Mkwakwani primary School Seleman Amir kwa mbali na jirani yangu mzee Majuto..
    Duh watu tunajisahau sana lakini maisha mapito tu.

    ReplyDelete
  5. Rehema JettaNovember 29, 2012

    Tunakuomba Allah S.W umsamehe madhambi yake, umpunguzie adhabu ya kaburi, umpumzishe mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  6. wachilia mbali kwamba waliomsalia ni kdogo wakati umati ni mkubwa,na huyo aliyeingia kaburini na fulana ina picha ya marehemu je?jamani kila kitu kimewekewa utaratibu wake ktk uislam,iMola wajaalie hao wasanii waislam wapate mazingatio ktk huo msiba ili wakiondoka hapo warudi ktk mstari,innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiun

    ReplyDelete
  7. Big up to Nape Mnauye, kila shughuli yupo keep it up bro uwe na moyo huo huo na utazidisha mapenzi ya vijana kwa chama dume CCM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...