Mkurugenzi wa Vijana Nchini, Prof. Elisante Ole Gabriel akisisitiza jambo wakati wa Semina ya Vijana Wajasiriamali wa Mkoa wa Mwanza ilifanyika katika Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, tarehe 26/11/2012.
Baadhi ya Vijana walioshiriki kwenye Semina ya Vijana Wajasiriamali wa Mkoa wa Mwanza ilifanyika katika Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, tarehe 26/11/2012.
Picha ya Pamoja ya Vijana walioshiriki kwenye Semina ya Vijana Wajasiriamali wa Mkoa wa Mwanza ilifanyika katika Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, tarehe 26/11/2012.Picha na Atley Kuni ( Afisa habari Mkoa wa Mwanza).


Ndio anagundua leo?.. Mbona watu wengi Mwanza tunalifahamu tatizo hilo?
ReplyDeleteSolution yake ni nini??!!