Watanzania waishio UK mnaombwa kushirikiana kwa kuhudhuria hafla fupi ya kujitolea (harambee) kwa ajili ya kusaidia shughuli za usafirishaji na maziko ya watanzania wenzetu (Fredrick Mtoi na Mariagoreth Ndagio) vilivyotokea London na Luton.

Muda: Saa 11 jioni.
Siku: Alhamisi, 29 Nov.
Mahali: Tanzania High C  omission UK
3 Stratford Place Marylebone
WC1  1AS. London

Ushirikiano wako ndiyo mafanikio ya shughuli hii muhimu. Kama hutaweza kuhudhuria tafadhali tuma mchango wako kwenye account ya Jumuiya:
TA (Tanzania Association)
HSBC
Sort Code: 40 05 26
A/C:  41 22 96 72

Jumla ya mchango utakaopatikana utagawanywa sawa kwa wahusika wa pande zote mbili. Iwapo ungependa mchango wako uelekezwe kwenye familia mojawapo tu, tafadhali bainisha kwa kuambatanisha ujumbe (simple note).
Asanteni kwa ushirikiano wenu

Tanzania National Associations (TANZ) UK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. JAMANI WAFIWA PANDE ZOTE MBILI POLENI SANA.PIA TUNAWAOMBA WATANZANIA WENZETU HUKO BONGO TUSAIDIANE HII HARAMBEE UK NA BONGO,JAMANI HUKU UK WABONGO TUPO WACHACHE TUNAWAOMBENI SANA,MWENYE MOYO WA KUJITOLEA TUJITOLEE.LONDON.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...