Home
Unlabelled
mdau Dkt.fred msemwa ala nondozzz...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pongezi za dhati kwako Fred na familia yako kwa mafanikio hayo. Wewe ni mpiganaji wa kweli na rekodi yako inajionyesha yenyewe. Mwalimu Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusema kwamba taa kubwa huzungukwa na giza kubwa kuliko taa ndogo. Ironically, kwa kupata PhD utajikuta una mambo mengi zaidi utakayotaka kuyajua zaidi na zaidi. PhD inawezakuwa imejibu maswali fulani lakini pia inawezekana imeibua maswali mengine zaidi. Naamini elimu yako itachangia katika vita dhidi ya ufisadi - ugonjwa ambao tumeaminishwa kuwa ni kitu cha kawaida. Ni vita ambayo lazima nchi ishinde kama inataka kupiga hatua.
ReplyDeleteKutoka kwa: Mgaywa Magafu na familia