Mdau Raphael Mwabuponde ambaye alikukuwa ni Mkurugenzi wa Makampuni ya RM Accounting and Tax Services na MR Shipping and Export LTD,Columbus-Ohio nchini Marekani akitoa msaada wa bidhaa mbali mbali yakiwemo mavazi kwa Watoto waliopo kwenye Kijiji cha Soga,Kibaha Mkoani Pwani.
Mdau Raphael Mwabuponde (kushoto) akizungumza na Baadhi ya Wanafunzi wenye Ulemavu wa Shule ya Sekondari ya Yombo Vituka,Jijini Dar mara baada ya kuwapatia Msaada wa Magongo ya Kutembelea wakati alipoitembea Shule hiyo.
Mdau Raphael Mwabuponde pia alipita katika Shule hii ya Awali iliyopo Kimara Suka na kuwachangia Vitabu na vitanda vya kupumzikia watoto.
Mdau Raphael Mwabuponde akiwa na kina bibi wa Kijiji cha cha Soga,Kibaha Mkoani Pwani mara baada ya kuwapatia msaada wa mavazi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mungu akubariki kijana. Kutoa ni MOYO, You have made a difference to those human beings!!!!!

    ReplyDelete
  2. Good job Bro, Mungu akubariki uendelee kua na Moyo huo wa Utoaji.

    ReplyDelete
  3. Mr.Raphael kwakweli mungu akupe zaidi kwa hayo uloyafanya maana si madogo na mungu atupe nasi ili tuige mfano wako kaka.
    Amin.

    ReplyDelete
  4. Wajengee hiyo nyumba, wawekee tu nyumba ya million 5 basi wakae pazuri.

    ReplyDelete
  5. Baba Mwabuponde... Nimekukubali.. Very nice strategy.. Way to go.

    Good luck!

    Ignas

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...