Waliosimama wapili kutoka kushoto ni Mdau wa Globu ya Jamii,Shafi Mpenda akiwa na wadau wenzake mara baada ya kutunukiwa shahada yake katika Chuo Kikuu cha Kampala International University jijini Kampala nchini Uganda.
Kutoka kushoto ni Agaba Herbert, Edward Kaguo na Shafi Mpenda.
Kutoka kushoto ni Shafi Mpenda, Edward Kaguo, Jenipher Kanut, Alili Joseph na Agaba Herbert





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...