Hii
Ndio sehemu watakayokaa wakuu na Viongozi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma
kwaajili ya kuwatunuku wahitimu muda mfupi ujao katika viwanja vya
chimwaga vilivyopo chuoni hapo
Baadhi
ya Wahitimu wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha Cha Chuo
Kikuu Cha Dodoma wakiwa katika harakati za kutafuta picha za ukumbusho
na rafiki zao wakati wa sherehe za mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma yanayotajiwa kuanza saa saba Mchana wa leo katika viwanja vya
Chimwaga Vilivyopo Chuoni Hapo
Mdau Josephat Lukaza wa Lukaza Blog na Classmate wake Wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma Katika Mahafali ya Tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
yanayofanyika katika Viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni Hapo
Kutoka
Kushoto Ni Josephat Lukaza Mmiliki wa Lukaza Blog akifuatiwa na
Emmanuel Mwakibinga na Patrick Kapachino Kapongwa katika Picha ya Pamoja
Kabla ya Sherehe za mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Kuanza
katika Viwanja Vya Chimwaga leo
Wahitimu
wakiwa katika shamrashamra za huku na kule katika Kuchuku taswira za
ukumbusho katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yanayofanyika
katika viwanja vya chimwaga vilivyopo Chuoni hapo
Wahitimu
wakiwa Katika Harakati za hapa na pale katika mahafali ya tatu ya chuo
kikuu cha Dodoma yanayofanyika katika Viwanja Vya Chiwaga Vilivyopo
Chuoni hapo leo.


Hongereni wa TZ achaneni na wamajuuu maneno mengi!!
ReplyDeleteheee kwahyo wanaograduate majuu wana waneno mengi??we mdau hujielewi,sema hongera usepe!!!!
ReplyDeleteNasubir kumwona anko Harry.
ReplyDeleteni sepe wapi wewe habari ndo hiyo!!
ReplyDeleteCongrats wa TZ
Haya Wasomi juzi mlikuwa mnagombea Makoti/ Majoho,
ReplyDeleteIlikuwa hakuna sababu kuparurana bureee mbona kila mmoja alipata la kakwe?
Enheee vipi sasa pana tofauti gani hadi leo?
Mmesha Hitimu, kilichobaki mtafute kazi kwa vigezo na ushindani na sio kwa njia za Rushwa na upendeleo!!!
ReplyDeleteIsije ikatokea mtu aliyekuwa anaburuza Mkia Darasani Versity anakabidhiwa Idara nyeti kabisa wakati yule Mhitimu mwenziye mwenye GPA (Credit) za juu anahangaika na makabrasha makwapani kila siku akipiga foto kopi za vyeti na kuandika CV akiwa kazi hapati!