Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalam ya Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar,Bi Fauzia M. Haji akifuatilia mjadala wa wa kundi la Africa katika mkutano wa 18 wa duania wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini Doha,Qatar leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Dunia ya Sayansi na Taaluma ya Mabadiliko ya Tabia nchi,Bw. Richard Muyungi (kushoto) akijadili masuala muhimu yatakayojadiliwa katika mkutano huo juu ya maswala ya kilimo na msaidizi wake Bi Hanna Hoffmann ofisini kwake mjini Doha, kabla ya kuendelea kuendesha mikutano ya kamati hiyo inayoendelea katika mkutano wa 18 wa dunia wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi leo, picha n ( Evelyn Mkokoi)


Maneno tu huko mbali, nyumbani miti inakatwa tu! hebu tujaribu kutenda yale tunayoyapigia kelele na kupunguza hii mikutano ya maneno tu!!
ReplyDelete