Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akizungumza na wafanyakazi paomja na wastaafu wakati wa kuwaaga wastaafu hao katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge jana. Jumla ya wastaafu 12 waliagwa baada ya kulitumikia Bunge kwa muda mrefu.
Wastaafu wakisimama kwa heshima kubwa kumpokea Mhe. Spika.
Spika Makinda akimkabidhi mstaafu Makame cheti maalumu cha kutambua utumishi wake.
Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akiwapongeza wastaafu hao. Kushoto kwa Katibu wa Bunge ni Katibu wa TUGHE Mkoa wa Dodoma Bw. John Mchenya.
Uongozi wa Bunge ukiwa na wastaafu hao.
Ni wakati wa kulisakata rhumba!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naona Madame Speaker kapendeza na suti yake sasa sijui kwanini sisi wengine katika mashirika ya Serikali tunakatazwa kuvaa suruali!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...