Nape Nnauye ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM akipiga gitaa kwa ustadi kabla ya ufunguzi wa kikao cha Kamati Kuu na NEC,leo Dodoma katika Makao Makuu ya Chama hicho.
Mwenyekiti wa CCM Rais .Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na Chipukizi wa CCM alipowasili Makao Makuu ya CCM Dodoma leo tayari kwa kikao cha kamati kuu katika ukumbi wa White Houes mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine kabla ya akifungua rasmi kikao cha kamati kuu jioni hii mjini Dodoma. Picha na Adam Mzee




.jpg)
KWANINI KARUME HAPENDI KUVAA NGUO ZA CCM???!!
ReplyDeleteLETENI MICHAPO WAZEE WA DATA!
Huyo ni SIMBA DAMU - kwa hiyo rangi hiyo inamchefua saaana. Na akizivaa PATACHIMBIKA!!!!!!!!!!!
ReplyDelete