Bwana harusi, Godfrey Monyo akiwa na Bi. harusi, Gadiosa Lamte wakiwa katika kanisa la Mt. Petro jioni hii wakati wa ibada ya ndoa takatifu
Bwana harusi Godfrey Monyo akila kiapo
Bibi harusi akila kiapo
Pokea pete ya uchumba
Mpganaji Noeli Kapanda akimpongeza bwana harusi
Picha ya pamoja na wapambe
Picha ya wazazi na maharusi
Maharusi wakiwa na furaha tele
Hapa ndipo inapofanyika sherehe ya harusi ya Godfrey Monyo na Gadiosa katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
Ankal akiwa na my wife wake
Mama wa Rahateletz.blogspot.com akiwa bize kukupa matukio ya LIVE kutoka ukumbini
Wafanyakazi na watangazaji wa ITV
Gilian Lewis akiwa katika pozi na mume wake
This is really beautiful, I love that.
ReplyDeleteKaka Michu! hiyo ni pete ya ndoa eee siyo ya uchumba!! hawachumbiani hao wanaOANA:)
ReplyDeleteHongera sana bwana na bi harusi, Mungu awabariki.
Watanzania tuwekeze katika elimu kuliko hivi vitu vya mpitoooooo! Sponsor a child for good quality education (now in Private schools) and you will have made a difference, and God will bless you. Kote Nchi walimoendelea, watu wa KAWAIDA kama Monyo hawafanyi mambo haya. Imependeza Yes! But at what and whose cost? What are the opportunity costs? Tubadilike Watanzania!
ReplyDeleteElimu inawakati wake baada ya dhiki faraja nafaraja yenyewe ndo hii sherehe pekee ambayo muhusika anaenjoy ni ndoa kuzaliwana kufa wanaenjoy wenzako bt kuoa au kuolewa ndo Mungu karuhusu mhusika afaidi duh hongera Monyo mdau Mungu akupe heri.. mpate watoto wa kike na kiume waizunguke. meza yenu upendo utawale nyumba yenu muwe wakarimu kwa wageni wenu wote... SARAH - NAOT
ReplyDeleteankali mishuzi mkeo ni msupuuu
ReplyDeleteMkerwa huna akili wewe
ReplyDeleteMjomba Michuzi Hongera wewe na Mama Mammou na pia Bwana na Bibi Harusi hengera saaana !
ReplyDeleteInshallah nataka ikiwezekana nibadili jina nisikuite Mjomba bali NIKUITE BABA MKWE MTARAJIWA KWA BI. MAMMOU ILA NASUBIRI AMALIZE MASOMO
NAOMBA UNIPOKEE NIKIJA!