Balozi mdogo wa CHINA Mhe Chen Qiman alipofanya ziara kutembelea miradi ya jumuia ya kuwaendeleza wanawake zanzibar COWPZ AKIFUATANA NA kATIBU mTENDAJI WAKE Mgeni Hassan Juma
 
 Balozi mdogo wa CHINA Mhe Chen Qiman akiangalia mradi wa ushonaji
 Watendaji wa chama cha wandishi wa habari wanawake tawi la Zanzibar wakiendesha mafunzo kwa vikundi vya wanawake wa mkoa wa kusini Unguja juu ya kuwapa uwezo katika maamuzi.
 Baadhi ya wanachama wa vikundi vya wanawake wa mkoa wa kusini Unguja wakipata mafunzo juu ya kuwapa uwezo katika maamuzi.
Mafunzo yakiendelea. Picha na Abdallah Massangu - MAELEZO Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...