Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (kushoto)akimkabidhi Kapten wa Timu ya Taifa ya Zanzibar(Zanzibar Heroes)Nadir Haroub Kanavaro Bendera ya Zanzibar ili kuipeperusha katika Michuano ya Chalenj itakayofanyika huko Uganda,hafla iliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
Kepten wa Timu ya Taifa ya Zanzibar(Zanzibar Heroes)Nadir Haroub Kanavaro akitoa shukurani kwa Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk na kuahidi kuipeperusha Vyema Bendera ya Zanzibar katika Michuano ya Chalenj itakayofanyika huko Uganda,hafla iliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...