Hapa Ankal hatii neno maana wapenzi wa kipindi cha 'From me to you' cha RTD enzi hio huu ulikuwa kama wimbo wa Taifa. Kaka Abdul Mtullya huko Ujerumani idhaa ya Kiswahili ya DW unakumbukwa kaka kwa haya mambo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankal mbona umetukumbusha mbali, sijui unakumbuka kipindi cha "At your Request" na "12 noon spin" ndio nyimbo zao hizo. Halafu Ankal unakuja Gymkhana Uwanja wa Basket kufuata Michuzi yako ya Picha. Jua kali, lakini maisha yalikuwa mazuri.Tunasikiliza YMCA Disco kwa mbali pale Gymkhana.

    Pazi enzi hizo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...