Mgeni Rasmi katika Onyesho la Khanga za Kale,Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto, Mhe.  Sophia Simba  akisoma hotuba yake fupi wakati wa kufungua rasmi Onyesho la Mavazi ya Khanga za Kale linaloratibiwa na Mamaa wa Mitindo,Asia Idarous Khamsin (kushoto) chini ya Kampuni yake ya Fabak Fashion.Onyesho hilo limefanyika usiku wa kuamkia leo  katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam.
Muandaaji wa Onyesho la Mavazi ya Khanga za Kale,Mamaa wa Mitindo,Asia Idarous Khamsin akizungumza machache kabla ya kuanza Rasmi kwa Onyesho hilo lililofanyika usiku huu katika Hoteli ya Serena,Jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa Shindano la Unique Model,wakiwa Jukwaani wakati wakipita kuonyesha vazi hilo la Khanga za Kale.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...