Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya mapishi ya Pemie Food Catering, Jane Mjata (kushoto) akikabidhi msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Yatima cha Umri, Rahma Kishumba,  kilichopo Magomeni Mikumi jijini Dar es Salaam kwa niaba ya watoto yatima wanao lelewa katika kituo hicho katika makabidhiano yaliyofanyika jana kityuoni hapo. Anaeshuhudia katikati ni Meneja wa Pemie, Fidelis Mgeni.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya mapishi ya Pemie Food Catering, Jane Mjata (kushoto) akikabidhi msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kwa watoto yatima wa Kituo cha Yatima cha Umri, Muhaji YTusufu na Sumaiya Ibrahim.Anaeshuhudia kulia ni Rahma Kishumba Mkurugenzi wa Kituo hicho.
 
Viongozi na wafanyakazi wa PEMIE FOOD CATERING wakipiga picha ya pamojabaada ya kutoa msaada. Kulia ni Humphrey Milinga kutoka A Plus Communication waratibu wa shughuli hiyo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...